id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
2036
14
ni muda wa kiasi gani hadi nipokee chakula changu
takeaway
2037
8
badilisha taa kuwa nyekundu
iot
2038
8
kubadilisha kutoka kwa buluu hadi taa za manjano
iot
2039
17
kunapendeza leo
weather
2041
17
hali ya hewa ya leo ni nzuri
weather
2043
8
sihitaji taa
iot
2044
8
sihitaji taa
iot
2045
8
mwangaza ni mwingi mno
iot
2046
10
sitaki sauti
audio
2047
10
punguza tambo
audio
2048
10
zima vipaza sauti
audio
2049
17
angalia hali ya hewa ya jiji kwenye orodha huanza na a
weather
2050
17
angalia hali ya hewa ya jiji la alabama
weather
2051
17
niambie ripoti ya hali ya hewa ya leo ya jiji la mombasa
weather
2052
8
zima taa za sebuleni
iot
2053
8
fanya iroomba yangu isafishe sebuleni
iot
2054
8
fanya iroomba ioshe nyumba
iot
2055
15
hifadhi wimbo huo kwa wakati nitahitaji kushangilia
music
2059
17
kunanyesha
weather
2060
3
nichezee baadhi ya rhumba
play
2061
3
tafadhali cheza muziki ya benga
play
2063
17
niambie hali ya hewa ya wiki hii
weather
2064
17
hali ya hewa itakuwa aje wiki hii
weather
2065
17
hali ya hewa iko aje wiki hii
weather
2066
4
nambari za ushindi za bahati nasibu ya lotto zilikuwa gani jana
news
2067
4
kuna aliyeshinda bahati nasibu ya powerball jana
news
2068
10
kiwango cha sauti
audio
2070
10
zima kipaza sauti
audio
2071
3
cheza nakupenda malaika
play
2072
3
nataka kusikiliza fally ipupa kwenye tamasha la moja kwa moja
play
2074
8
weka plagi ya soketi yangu ya bafu katika hali kuwasha
iot
2076
8
washa taa zote
iot
2077
8
ongeza mwangaza
iot
2078
10
tafadhali punguza sauti kidogo
audio
2079
15
rudia wimbo wa mwisho
music
2080
16
kengele yangu ya kuamka ni ya saa kumi na mbili asubuhi
alarm
2081
16
weka kengele yangu ya kesho saa kumi na mbili asubuhi
alarm
2083
8
ongeza mwangaza zaidi
iot
2084
3
ningependa kusikia taarab yoyote isipokuwa khadija kopa na mzee yusuf
play
2086
3
ningependa kusikia genge yoyote isipokua mzee yusuf au khadija
play
2087
3
nichezee kumi bora za redsun ya mwaka huu
play
2089
14
wakati gani pilau yangu itafika
takeaway
2090
14
pigia jumia
takeaway
2091
17
kutakuwa na mvua yoyote kesho asubuhi
weather
2096
14
je java hufanya maagizo mtandaoni
takeaway
2097
4
kuna matukio yoyote ya kuvutia kwenye dunia
news
2099
14
tafuta chicken inn mtandaoni
takeaway
2100
14
pilau huwa inauzwa kwa pesa ngapi humo olepolos
takeaway
2102
3
cheza orodha ya muziki iliyochezwa mwisho
play
2104
17
hali ya hewa ni nini nyumbani
weather
2105
15
napenda muziki wowote wa otile brown
music
2106
3
kucheza chochote ya cat stevens na nitafurahia
play
2107
3
mapenzi hisia ya otile brown
play
2109
3
kuweka nakupenda malaika katika nafasi ya orodha ya tatu
play
2110
5
ni saa ngapi huko karachi sasa hivi
datetime
2111
5
wakati ni saa nne usiku hapa ni saa ngapi nakuru
datetime
2114
4
habari gani mpya hivi karibuni
news
2116
3
cheza muziki ya bongo mpya
play
2117
3
cheza wimbo wa pop wa karibuni
play
2119
8
nahitaji mandhari tafadhali
iot
2121
8
weka taa za chumba cha kulala katika hali ya kuzima
iot
2123
17
hali ya hewa iko aje katika mji wa brighton pa
weather
2124
17
niambie hali ya hewa ya new brighton pa
weather
2126
4
nini kinaendelea na kimbunga katika ghuba
news
2127
4
kuna mtu yeyote aliyekamatwa kwenye maandamano leo huko nairobi
news
2129
8
badilisha taa ya nyumba kutoka kijani hadi nyekundu
iot
2130
8
king'ae zaidi kidogo asante
iot
2135
16
kengele ijayo ni ya lini
alarm
2136
16
toa kengele yangu ya saa kumi asubuhi
alarm
2137
3
cheza tamaduni
play
2138
3
cheza jazz
play
2139
17
hali ya hewa iko aje nje
weather
2141
17
leo chukua mwavuli
weather
2142
4
habari za m. s. n.
news
2143
4
habari za magazetini
news
2145
5
ilikuwa krismasi elfu moja mia tisa na sabini na mbili wikendi
datetime
2147
16
fungua kengele
alarm
2148
15
nionyeshe matokeo ya kile ninachosikiliza
music
2150
15
nipe habari kuhusu huu wimbo
music
2152
3
muziki unaopendwa zaidi
play
2153
3
bango langu pendwa
play
2155
5
saa ngapi sasa hivi
datetime
2162
15
rudia jazz
music
2169
16
hairisha
alarm
2170
16
badilisha kengele yangu
alarm
2171
4
onyesha mimi habari ya karibuni kuhusu uchaguzi
news
2172
4
ni miji gani yaliyoathiriwa na tetemeko la ardhi
news
2173
9
mbona kuna theluji nyingi sana mji wangu
general
2175
8
badilisha mwangaza nikifika nyumbani
iot
2176
8
punguza kiwango cha mwangaza ndani ya nyumba yangu
iot
2177
17
nitafutie hali ya hewa ya saa hii
weather
2180
5
muda tafadhali
datetime
2181
5
niambie muda sasa
datetime
2182
5
ni tarehe ngapi leo
datetime
2183
5
siku gani leo
datetime
2184
5
niambie tarehe ya leo
datetime
2185
8
zima taa za chumba cha kulala changu
iot
2186
8
nahitaji uzime taa ya chumba changu cha kulala
iot
2188
8
olly tafadhali zima taa ya chumba cha kulala changu
iot
2189
8
zima plagi ya wemo yangu
iot