id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
1609
8
anza kutengeneza tafadhali
iot
1610
8
anzisha kahawa
iot
1611
5
tafadhali ni saa ngapi new york
datetime
1612
8
kikwazo cha muda
iot
1613
8
kipindi mwanga unapaswa kuwa hafifu
iot
1614
17
dalili zozote za mvua
weather
1616
4
nijulishe iwapo mada yoyote inayohusiana na siasa itatokea
news
1618
8
nataka kahawa sasa
iot
1619
8
nipatie kahawa
iot
1620
8
olly nipe kahawa
iot
1623
15
mistari
music
1624
16
weka muda
alarm
1626
16
weka sauti ya kengele
alarm
1627
14
uteuzi wa mikahawa
takeaway
1628
14
bei
takeaway
1629
14
huduma ya kupeleka nyumbani ya bure
takeaway
1631
10
nataka kusikia sauti ya wimbo unaoimba kwa sasa
audio
1632
10
sauti ya muziki unaocheza inapaswa kuongezwa
audio
1633
16
nionyeshe kengele zangu
alarm
1634
16
olly nionyeshe kengele zangu
alarm
1638
4
ni makala ngapi mpya zimechapishwa kwenye business daily katika saa iliyopita
news
1641
10
washa hiyo
audio
1642
10
hapana hapana izime
audio
1643
8
fanya taa zote ndani ya nyumba ziwe rangi ya machungwa
iot
1644
8
badilisha mwanga wa bafu uwe wa manjano
iot
1645
16
nikona kengele zozote zilizowekwa
alarm
1647
8
taa zote zizimwe wakati wa mchana
iot
1648
8
zima taa zote wakati wa mchana
iot
1649
8
wakati wa mchana taa zote zizimwe
iot
1650
4
tafadhali nijulishe habari za hivi punde za biashara
news
1651
4
unaweza kunipa habari za hivi punde za michezo
news
1652
4
nijulishe kuhusu habari za hali ya hewa za hivi karibuni
news
1654
17
jkutakuwa na baridi kiasi gani jumanne ijayo
weather
1656
16
nionyeshe kengele zote zilizopangwa
alarm
1657
16
ni kengele ngapi zimewekwa kwa sasa
alarm
1659
8
karibia kifyonzi
iot
1660
8
chukua mkononi
iot
1661
8
washa kifyonzi
iot
1662
5
ni tofauti gani ya wakati kati ya kisumu na nairobi
datetime
1663
5
tofauti ya masaa katikati ya nairobi na mombasa ni gani
datetime
1665
4
ni habari gani safi kwa masaa sita iliyopita
news
1667
3
chagua na ucheze nyimbo za sifa kutoka elfu moja mia tisa na tisini kuenda juu pekee
play
1668
3
nyimbo za sifa pekee kutoka elfu moja mia tisa tisini na tisa kwenda juu zinafaa kuchaguliwa na kuchezwa
play
1669
3
rock za kikristo kutoka elfu moja mia tisa tisini kuenda juu ndio inapaswa kuchaguliwa na kuchezwa
play
1670
4
facebook yazindua tagi yenye utata ili kukabiliana na habari ghushi
news
1672
3
cheza muziki yote iliyotolewa kati ya elfu moja mia tisa na tisini na elfu mbili pekee
play
1673
3
albamu ya muziki kati ya elfu moja mia tisa tisini na elfu mbili inafaa tu kuchezwa
play
1674
16
toa kengele ya saa moja na nusu asubuhi jumatatu
alarm
1676
16
toa kengele ya saa kumi na mbili asubuhi ya wiki nzima ya baadaye
alarm
1679
15
ni muziki gani unaocheza sasa kwa mia tisa na tisini na tisa f.m.
music
1681
10
sauti ya muziki inapaswa kuongezeka hadi tisini
audio
1682
10
weka sauti ya muziki hadi tisini
audio
1685
17
kesho kutakwa na joto ukweli ama uwongo
weather
1686
17
je ndio au la kwamba halijoto la kesho litakuwa la moto
weather
1689
17
utabiri wa hali ya hewa hii wiki ni nini
weather
1690
17
olly nini utabiri wa hali ya hewa ya wiki hii
weather
1691
17
hali ya hewa ya leo ni nini
weather
1693
15
ni huduma gani ya muziki ina muziki wa roho ninaoweza kusikiliza
music
1694
3
nataka kupata baadhi nzuri ya muziki ya salsa
play
1695
15
nani mwimbaji wa wimbo unaochezwa sasa
music
1697
15
wimbo unaocheza sasa umetolewa na msanii yupi
music
1699
15
huu ni wombo mzuri rudia
music
1700
15
huu ni wimbo wangu ninaopenda zaidi
music
1701
8
washa kifyonzi cha roboti changu saa nne hadi saa tano asubuhi kila siku
iot
1704
5
ni saa ngapi
datetime
1705
5
tafadhali unaweza kuniambia wakati
datetime
1706
8
tafadhali zima taa ya upande wa kulia pekee
iot
1707
10
zima spika hadi asilimia tano
audio
1708
10
badilisha sauti ya spika hadi asilimia sitini na tano
audio
1709
10
nataka vipaza sauti vyangu vipandishwe sauti
audio
1711
15
hifadhi wimbo wa siskii katika orodha yangu ya kucheza
music
1712
15
toa nyimbo zote za huzuni za samba mapangala kisha utengeze orodha ya nyimbo za huzuni za samba mapangala
music
1713
15
kupakua na kuokoa wimbo wa mapenzi hisia
music
1714
10
kuzungumza kwa sauti ya juu kama unaweza
audio
1716
10
unaeza ongea kwa sauti ya chini tafadhali
audio
1717
8
zima taa ya bafu ya gorofa ya juu
iot
1718
8
nataka taa za jikoni uzimwe
iot
1720
16
weka kengele ya kila jumanne ya mwezi wa machi saa mbili asubuhi
alarm
1721
16
weka kengele ya wiki nzima saa nne asubuhi mwezi wa nne
alarm
1723
17
hali ya hewa ya lucknow itakuwa aje tarehe tisa februari mwaka wa elfu mbili na kumi na saba
weather
1724
17
ni joto gani la juu zaidi la delhi
weather
1725
17
hali ya hewa itakuwaje siku saba zijazo
weather
1727
14
tafadhali unaweza kuniambia ikiwa mkahawa wa talisman naweza agiza kuchukua kutoka hapo
takeaway
1728
17
tafadhali thibitisha hali ya hewa ya tarehe kumi na tatu mwezi huu
weather
1729
17
niambie kama kutakuwa na jua bila mawingu ijumaa wiki hii
weather
1730
14
angalia kituo cha java karibu nami na uagize wali
takeaway
1731
14
angalia mkahawa karibu yangu na uagize piza
takeaway
1733
16
angalia leo kengele ya mkutano
alarm
1734
3
nichezee muziki ya benga
play
1735
3
nataka kusikia muziki wa nchi
play
1736
3
badilisha aina kutoka rock kwa ohangla
play
1737
8
punguza mwanga wa taa ya ukumbi asilimia ya ukumbi
iot
1738
8
punguza mwanga wa bustani kwa nusu
iot
1739
15
ni nani msanii yule alieimba wimbo huu
music
1740
15
tafathali niambie jina la wimbo huu ambao unacheza
music
1743
14
tafuta na uagize mandazi ya jumia
takeaway
1746
15
napenda wimbo huu je wewe unaupenda
music
1747
8
washa ikiwa imeingizwa ndani na kama haijaingizwa zima
iot
1748
8
ikiwa swichi imewashwa basi washa nyingine zima
iot
1751
8
zima taa za upande wa kulia zote
iot